Wabongo mtasababsha huyu mwanamke ajitoe uhai, kwani nini kikubwa kwenye kunyanduliwa.....
Yeye akiwa na akili aichukulie poa kama alivyofanya Amber Rutty....mpaka mkamkoma, na juzi niliona sehemu huyo Amber Rutty anaalikwa mashuleni kuhutubia wanafunzi.....hehehe