Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nimecheka sana, yaani wasambaa sijui wana nini[emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani ni msambaa au mpare?Ngoja mshana aje[emoji23][emoji23]
Umeona sasa nimechanganya madesa; sema anawaongeleaga sana na nduguze wasambaaKwani ni msambaa au mpare?
Haha basi nae ni walewale wanaoita corona cooonaUmeona sasa nimechanganya madesa; sema anawaongeleaga sana na nduguze wasambaa
Hv hyo ni acc ya kweli ya dodoma jiji fc au???Utopolo jiangalieni[emoji849][emoji849]View attachment 1919695
Hahaha[emoji23][emoji23]Ilikuwa shilingi moja hiyo unakwenda nayo mjini sikukuu ya Sabasaba unapata maandazi na skonzi za kutosha; na jioni unarudi home na mzigo wa miwa...na chenji inabaki!
Unamjua yeyote kati hao wana Utopolo?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseeeeeeeee!![emoji116]View attachment 1916338