Gotcha[emoji106]Kuna moja iko edited hapo kulia kwa Slow Slow kawekwa Hamza. This one [emoji115][emoji115][emoji115] seems to be legit...
View attachment 1911058
Heshima kwako.Ni picha ya aina gani? Kwangu haikufunguka. Inafanana na hii?
View attachment 1911064
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]They got Jeremy. Mwaka 70 nikiwa bado kijana (25 yrs) na kuendelea huyu jamaa alikuwa anatamba sana kwenye gemu...It seems like he is not going to finish well...
View attachment 1911065