IMG-20190503-WA0007.jpeg

IMG-20190429-WA0041.jpeg
 
Hahaa joyce ana lalamika kula ugali msiban uyu dada chiz hahahahaha au ndio mtani ila.kwan mchaga ma mchaga n mtani.? Mtani. Si mchaga na mpare na wale.watu waTanga
57506575_433690820726457_2961110806922782730_n.jpg
 
Numbisa yaani nimecheka. Kuna dada ni nesi wa Hospitali ya Butimba (Nyamagana), mumewe alikuwa na mchepuko wake, wakazaa mtoto wa kiume, huyu dada hakujaliwa uzazi.
Mchepuko wa yule baba au niseme mzazi mwenzie alifariki kwenye ile ajali ya kivuko cha Ukara (MV Nyerere) yaani huy nesi alishangilia hadi kero!!!
Yaani alikuwa akikutana na mtu ambaye wanajuana alianza hivi: JAMANI NINA RAHA, NINA RAHAAAAAAAAAAA UWIIIIII...
yani kama natamani nimuone maana niko nje ya hii hospital hapa kwenye kituo cha dala dala za Butimba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom