Nakwambi Hapa Tanzania kwasasa tunadabi tatu 1.Simba vs Yanga
2.Twaha Kiduku vs Dulla Mbabe
3.Gwaji boy vs Gwaji girl
Hiii ya mwisho ukichanja chanjo maanake ww ni ngwaji girl na ukichanja mbuga maanake ww ni Gwaji boy sasa maisha ni kuchagua
Na Hadi tunaingia mitamboni timu FT :Gwaji boy 3 vs 0 Gwaji girl