Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ila Manyara jamani inaongoza kwa kuwa na wasichana wazuri.
Wasichana wa huko wana mvuto sana, halafu hawajuagi kusema hapana[emoji23][emoji23]
Utasikia"ninunulie Airtel ya mia tano unikute pale kwenye ile mgunga,ile shamba ndo nzuri mahindi yake ilipandwa na ng'ombe"....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu hanifai kabisa,maana mie sina chumvi,ninasukari tu hapa,tena ya keikei kijiko kimoja[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…