Vituko mitandaoni. Tupia chako

Ongea kiswahili tu,Wala usijisumbue
PM please babu yako karuhusu Taavid tulia sasa na hiyo mi PDF yako!

Wacha kujichosha bro, mtoto kaelewa pdf saii tupo kwenye mipango mingine ya kifamilia! Unapoteza muda tu huko pm!
Mjukuu nisikilize vizuri kwenye hii ishu. Usiponisikiliza utajuta.

Kimbilia kwenye pdf. Huko angalau kuna staha na mapigo ya kimya kimya. Huyu baharia anayetamba hadharani kuwa ni bingwa wa kuzama uvinzani kwa kweli hapana. Utakwenda kuzamiwa chumvini mpaka chumvi yote ikuishe. Na bila chumvi huwezi kuwa na mishipa imara na mifumo mingi mwilini haitofanya kazi. Kimbia mjukuu wangu kimbia. Hata PM usimkaribishe kabisa.

Ni hayo tu kwa sasa
🥱🥱🥱
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…