Kuramba sehemu ya haja ndogo wala siyo haramu lakini kiafya haipendekezwi kwa vile kuepusha kulamba fangasi na kwenda kukuletea madhara tumboni, lakini nguruwe wengine kisheria haturuhusiwi kula! Una jingine?!
Tufanye hivyo kwa mafisadi hapa kwetu. Chukua ukoo wote wa akina Kigwangalla piga mvua 30 kila mmoja. Miaka miwili tu ripoti za CAG zitakuwa safiii na nchi itaendelea kwa kasi ya kushangaza.View attachment 1894524