Kila kitu ni chema wapendwa. Kwa umpendaye pesa haina thamani kwa sababu unakuwa tayari hata kutoa uhai wako ili kumlinda na kumfurahisha. Mtumishi; kwako tu acha niwe mshamba na Wanyaki wote wawe werevu. Kitaeleweka kwenye mavuno
Siyo mapenzi,K ndo haina makombo. Unakuta jitu limepigwa huko mpaka imekua lapulapu lakini kuna fala linakujapiga goti"will you marry me!!",shenzi type.
Sina damu ya kichaga hata tone.
Ukinijibu hovyo,kwenda. Kwani mwanamke ni wewe tu?
Mafala ndo wanauliza kwanini hujibu text,sijui kwanini hupokei,na ujinga mwingine mwingi.
Ma hip hop ni call 1 tu,hajapokea imetoka hiyo.