Ila Kibwetere huyu wa Ubungo mi nimemkubali kutokana na msimamo wake thabiti.
Anasema yupo tayari apoteze vyote lakini siyo kuchanjwa.
Mwanaume lazima uwe na msimamo bila kujali maslahi
Siyo kirahisi hivyo Mtumishi. Umejuaje kuwa nilikuwa namaanisha hicho na siyo kile? Unaweza kuthibitisha conclusively (and without any reasonable doubt) kuwa hicho ndiyo nilikuwa namaanisha na si kingine cho chote katika millions and millions of other possible meanings?