Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,833
Mimi za begani na matakoni hata unichome mia. Kimbembe ni kale kasindano ka kwenye kidole wanakushtukiza hivi uwiii [emoji16]Binafsi naogopa sana sindano za manesi, bora unidunge kwa kisu.
Hapa kabakiza kuvuta umeme tu basi.
Wanyaki mje huku mnaitwa [emoji16][emoji16][emoji16]Cc wanyaki[emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1894495
Hasa kama ni Mzaramo umekwisha !!!