Vituko mitandaoni. Tupia chako

Yote tisa lakini kumi panya akitumbukia kwenye uji.... Uji unakuwa mtamu sana! Believe it!!
 
Acha kuwaza mapenzi,waza ufanye vipi hili upate pesa
Na namna sahihi ya kuwaza namna sahihi ya namna ya kupata pesa,ni kwanza kuondoa stress za mapenzi ili pesa ikipatikana nitumie na mpenzi badala ya wapenzi. Nikiwa na mmoja ninayemuwaza baada ya kupata pesa,ni bora zaidi kuliko nikazidaka nikaishia Sudan Temeke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…