Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mie hapana[emoji16]

Yaani sikatai ukewenza,lakini tuishi wilaya tofauti

Ninaweza nikawa mie ni mstaarabu,lakini mwenzangu ukawa moto wa kifuu[emoji23]
Mimi hata tuishi Nchi tofauti siwezi nina kinyaaa yaani naona kabisa hii mali yangu jana ilikuwa sehemu fulani au leo mwenzangu yupo kifuani huko aiseee siwezi😬😬
 
Yanga wametia fora
 
Mie hapana[emoji16]

Yaani sikatai ukewenza,lakini tuishi wilaya tofauti

Ninaweza nikawa mie ni mstaarabu,lakini mwenzangu ukawa moto wa kifuu[emoji23]
Na kwanini uolewe mke mwenza ilhali mimi hapa u single unanitesa?
Sijalala mpaka muda huu nawaza mapenzi tu.

Ila sina hela. Ndo nazitafuta. Njoo tuunganishe nguvu.

Nipe namba hata pm tu uwe na mume wako peke yako. I promise,hutojutia.....[emoji8]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Papa akibusu miguu ya viongozi waliokuwa wanapingana huko Sudan Kusini na kuwasihi sana wafikie maafikiano ili kuepusha vifo na mateso hasa ya wanawake na watoto wadogo. Waliporudi nyumbani ziliendelea kupigwa japo baadaye maafikiano yalifikiwa mapigano yakapumzika. Na walipohojiwa walisema nafsi zilikuwa zinawasuta hasa wakifikiria jinsi Papa alivyojinyenyekeza na kuwabusu miguu yao kama ishara ya kuwaombea wao na watu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…