Vituko mitandaoni. Tupia chako

Moja kati ya njia kuu ya kuilinda amani ni kumdhibiti anayetaka kuivuruga amani. Mimi ningekanyaga koromeo kabisa. Nikija kutoa mguu nakua ninesha uproot tatizo.

Nchi hii na harakati wapi na wapi bwana!!!
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2984]
 
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2984]
Katiba iliyopo hawaitambui!!
Wanaandamana kwa madai kuandamana ni haki yao kikatiba,katiba ipi?
Hiyo mpya au hii wasiyoitambua?

Pia,angalia hiyo picha vizuri,huyo kakanyagwa au kalalia mguu wa huyo mlinda amani.

Sijui kwanini nchi hii inawatu wasiochambua picha,habari au mambo before kuyashadia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…