Ukifuata hizo hatua hapo juu hutapika ugali mbichi au uliofubaa tena.
Nilikuwa na demu wangu Mchaga kila siku yaani ugali mbichi nikafundisha weee mpaka nikachoka ikabidi tu kumpiga chini. Kwangu mimi ni afadhali demu asiwe na tako lakini ajue kupika ugali sawasawa