PK akili kubwa, usimlinganishe na mataahira wasio na strategies za kuinyanyua nchi na hawana hata idea waanzie wapi.
Ile Rwanda baada ya civil war Watutsi na Wahutu ilikuwa hovyo hovyo sana, lakini sasa hivi wapo vizuri at least na wanazidi kusonga mbele kwa spidi kali.