Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,084
Umeshuka daraja,wakati corona ipo ligi kuu
Bora angemsikiliza mamba, pengine alikuwa anamwambia asiende kuna chui 🤷🏾♂️🤷🏾♂️🤷🏾♂️
Tukachanje tu!! Nimejitahidi nisome kiarabu ili macho yangu yasiende kulia ya picha, hata mimi ningechanja mara 5tu!!
Nyie waganga hamna huruma sometimes. Unamchanja mtu namna hii ili iweje?