Marahaba! Ila huu uzi utanifanya siku moja nipasuke kichwa kwa kucheka. Halafu Watu wameanza kufukua kaburi la mama wa Lushoto mama Jr. wakidhani ndo tumempumzisha leo kumbe zamaniiii.Shikamoo dada.... Nimekumbuka sana
Jr![]()
Wakati naingia sasa hivi nimekuta watu wanakupa pole. Nimem quote BAK nikasema na wewe tena unaniangusha maana msiba wa mama Mshana jr. ulikuwa 2017.Mmh sijaona
Jr![]()
Nineshaona dada... Kiroho kuna tafsiri yake kubwa tuu kwakuwa ilikuwa ni kipindi kama hikiWakati naingia sasa hivi nimekuta watu wanakupa pole. Nimem quote BAK nikasema na wewe tena unaniangusha maana msiba wa mama Mshana jr. ulikuwa 2017.

Mkuu pale wamesha vunja vunja sijui kwaniniKanaelekea katamu kweli kama mbuzi choma ya Mombo
Jr![]()