Aisee. Hii ishu ya mawigi nilikuwa siijui. Basi majuzi hapa bwana nikakokotwa mpaka dukani. Maweee! Kuna mawigi mpaka ya laki 8 mzee baba na yeye amekomalia moja la laki 3 na nusu. Shida sana haya mambo!