Vituko mitandaoni. Tupia chako

Huyu mwenye shepu kama ubao wa matangazo vifo ni nani hasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bila shaka atakuwa mbadala wa Senzo[emoji16][emoji16][emoji16]

Dahh...watu kweli hawana maana..View attachment 1865111
Wamemfanya nini huyu Manara jamani. Mbona povu hivi?

Halafu hana ustaarabu wala uvumilivu eeh!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…