[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vichambo vya kufa mtu[emoji849]
Kuna watu wanaachana hivi[emoji6]
Yess[emoji16][emoji16]Mmehamia kwenye majina[emoji23]
Mnateseka[emoji16]Yess[emoji16][emoji16]
Kama mmeamua mpaka kutuchoma moto kwanini tusiteseke [emoji28][emoji28]Mnateseka[emoji16]
Comments za chini nmesema hy n editedmkuu huoni kama ni edit hii mkuu
Demu wa kikosi [emoji16]My prezdent Papa Perez watamuua[emoji1787] mwaka huu...ila huyu demu nae duhhh[emoji1787]...sijui hilo papa lake lipoje[emoji778]View attachment 1859632
Afadhali kikosi...Demu wa kikosi [emoji16]
Kila sehemu ukienda lazima utakuta kuna dem ambae kama hujapita hapo wenzako wanakushangaa umefeli wapi, maana ndio kitonga cha mtaa hawezi kukataa kabisa yani hutumii nguvu nyingi kumpata labda uwe mchovu kwelikweli.Afadhali kikosi...
sema demu wa Serie A [emoji16][emoji16]