Aiseee[emoji23]Ki sayansi ya siasa kila mtu ni mwanasiasa,kadhalika kwenye michezo. Kuipenda CCM na YANGA ni ishara tosha kuwa unaipenda nchi yako,so kama utaipenda nchi yako,hutoshindwa kunipenda mimi kindakindaki.
Yaani mimi hapo ni direct object,CCM na YANGA ni indirect object.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amina[emoji120][emoji120]Hata na mimi ni mtu wa JF, so usiniamini na hiyo picha, amini tu maneno yangu
Katiba mpya inasemaje kuhusu bangi shambani kwako.?Ndiyo maana tunataka Katiba ibadirishweView attachment 1855144
There is no hope for you bro [emoji16][emoji16][emoji16]News about big black chickens[emoji16][emoji16]View attachment 1855027
Wallah kuna watu makauzu khaa!
Jinai.Katiba mpya inasemaje kuhusu bangi shambani kwako.?
Jamani mavu zangu khaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23]Jamani mavu zangu khaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Limbwata limekolea nazi[emoji23]
Leo hii watumwa wanajipeleka wenyewe, sio kama kitambo walitekwa na kuuzwa Ulaya.... Afrika yetu hii..duhHiki nacho ni kama kituko tu. Huko Ulaya kwenyewe kunakokimbiliwa kama hujajipanga vizuri hakuna kitu. Afrika yangu [emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 1854986
[emoji16][emoji16]usishangae hiyo siku ukifika huko chini hunioniThere is no hope for you bro [emoji16][emoji16][emoji16]
Masponsa awamu hii lazima na wao waache kutuma na ya kutolea