Sheria ni sheria na unapaswa kuheshimu hata wakichoma nchi yote ibaki majivu ila sheria itabaki pale pale, yeye ana mahela ya kutosha ya kuajiri jopo la mawakili wampambanie, hivyo haipaswi makajamba wote waingie barabarani na kupora, huu upumbavu hata hapa Kenya huwa tunakua nawo mara moja moja eti tukihisi kiongozi fulani kadhulumiwa tunaanza uporaji, huyo unayempora mtaji wake na kumrudisha zero kisa ujinga wako wa kuabudu mungu mtu.