[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Vipi Kijijini kwenu wapo wa hivi?View attachment 1850733
Sema huyu jamaa ana kiu sio poa[emoji16][emoji16]"Umemgonga mtu na mwanawe halafu unitake mimi, babu koma" LinahView attachment 1850738
Mrefu kwenda chiniHuyu ndiye ng'ombe mbilikimoView attachment 1850730
Hahaha poor ma mind.
Aimwage kushoto kabisa.
Haha wapi vitambi vya bia.Aimwage kushoto kabisa.
Haiwezekani akejeli kitambi cha maana!.
Maji ya dhahabu yale!.Haha wapi vitambi vya bia.
Labda machozi ya simba. Hamna bia ina maji ya dhahabu.. Maji ya dhahabu yako kwa white wine 😂Maji ya dhahabu yale!.
[emoji1][emoji1]Hahaha poor ma mind.