Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,922
Halafu tunasema uzembe wa marehemu[emoji16]
Hicho kwa ajili ya Dimlight mkuu..yaani hiyo tochi swichi yake ukiisukuma mpaka mwisho inawaka.unairudisha nyuma kidogo sio moaka mwisho then unabonyeza hicho chekundu..ukikiachia inazimaNa hicho kidude chekundu sijui kilikuwa na kazi gani...
View attachment 1823006
Duh!Tena nyingi tu
Mzee kawaka[emoji3]Mzee mbona povu!? Inakugusa nini!? [emoji848]
[emoji23] [emoji23]
Mwambie Mshana Jr aangalie vya kupost, anagusa maisha ya watu huku [emoji23][emoji1787]Mzee kawaka[emoji3]
Huyo kapotea njia...si unajua njia unapotea wakati wakwenda[emoji23]Mwambie Mshana Jr aangalie vya kupost, anagusa maisha ya watu huku [emoji23][emoji1787]
Aisee sikuwahi kujua. Asante sana mkuu kwa ufafanuzi safiHicho kwa ajili ya Dimlight mkuu..yaani hiyo tochi swichi yake ukiisukuma mpaka mwisho inawaka.unairudisha nyuma kidogo sio moaka mwisho then unabonyeza hicho chekundu..ukikiachia inazima
[emoji23][emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]Ndo namalizia malizia hivyo. All my legends are getting old and most of them are out of the game. Time to retire too [emoji16][emoji16][emoji16]
Karibu iringa[emoji41]View attachment 1842970