Frega Bao
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 554
- 362
Wanatumia kodi zetu kushadidia michezo na siyo kutupunguzia kodi? Pumbavu zao.
wanalaana mbwa hawa na bado walikata umeme Goli la simba huku kwetu tumeliskia tu kwa redio
Sent using Jamii Forums mobile app




Dah bora nije tu uku ..maana Chelsea sasa pasua kichwa ..
Dah bora nije tu uku ..maana Chelsea sasa pasua kichwa ..
Hahahahahaha uyo aliopiga picha uyo mlinzi angeamka pangechimbika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Linaitwaje tumuweke kwenye kumbukumbudogo lake linapasha msuli
Jr![]()
Duh! Zanzibar sio kisiwa tena

Tatizo ni stl