Brekifasti - Kiporo cha ugali/Wali
Lunch - ugali na mboga yo yote
Dinner - ugali (na wali wa kusindikizia)
Kwa vile utakuwa mgeni mboga sana sana itakuwa kuku au nyama ya mbuzi na maziwa. Maparachichi yanapatikana sokoni tunaweza kukununulia.
Unasemaje? Yu kami'n