Vituko mitandaoni. Tupia chako

[emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka zaidi!

Najaribu kuwaza destination yake ilikiwaje aaahahahahahahahaaahahahahahaaa looh jamanii

Akisema ageuke arudi alikotoka atarudishwa tuu na mteremko wa hiyo slide tena ndo itakuwa mbaya zaidi maana atakuwa anabong’oa 😆😆😆😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Aaahahahahahahahhahahaaaaaaa uuwiiiiiii nisaidieni jamani aahahahahahahahhaaaaaa
 
Akisema ageuke ndio itakuwa balaa kabisaa[emoji16][emoji16]. Lakini utaogeleaje uchi kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…