Kama Milioni moja na laki nane hivi (1.8M)
Hapo umesahau makelele ya sengeli yani akipita hamsikilizani kwa muda[emoji1]
Why this question mkuu? Wewe ni mkurugenzi wa kiwanda cha ndom Unataka kunigawia?🤔Unapenda ndom?
[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji8][emoji8][emoji8]Dizaina wa lile kabilaView attachment 1830590
Hivi ukisha zeeka zina umuhimu tena ?si zinabaki kama urembo tu🤣🤣