Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Nchi ngumu hii
Aaa wapi. Utamvutia kwa muda tu halafu akiona huna pesa anakwenda zake. Na bila pesa utawezaje kufanya yote haya?
Mmmh mei bii.......
🤣🤣🤣🤣🤣hakuna story ni kazi kazi tu
🤣🤣🤣si unamsaidia mama mkwe
Ngoja nitatega hapo darajani kwa Kijazi🤣🤣
Unafikiri ukienda na Range Rover utapewa kazi yo yote?si unamsaidia mama mkwe
Wanamuogopa bure tu....
Ha ha ha hata kinywaji utaulizwa unachopendelea, ila umeenda tu kichwa kichwa, unaletewa kinywaji chochote tuUnafikiri ukienda na Range Rover utapewa kazi yo yote?
Hii ni WW3 kabisa🤣🤣🤣