Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,945
Ukishikwa na tumbo la kuhara...au uzitandike bia...
Kwani mwisho wa dunia umeshafika[emoji16][emoji16]Alifika KE tukam deport, vipi huko jirani alikuja pia? (kidding) [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1826387
Hiyo maneno tulipiga ban huku. Bado mapema! π€£ π€£ π€£Kwani mwisho wa dunia umeshafika[emoji16][emoji16]
'Pote Galvez' hivi hii series, season ya tano vipi?![emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 1826395
Ndio nai download sahi mkuu, nataka niicheki ka itanivutia. π'Pote Galvez' hivi hii series, season ya tano vipi?!
Duh, hao watakua walizinduana wao kwa wao
Ati ndo soap opera ya Afrika! π π πDuh, hao watakua walizinduana wao kwa wao
Dah aisee nilikuwa sijui kabisa, hebu namimi niitafute sasa!Ndio nai download sahi mkuu, nataka niicheki ka itanivutia. [emoji23]
Huo ndo muda wa kukumbuka ule usemi wa "muache aende"π€£Amekula kibandani kwako, alafu hataki kulipa, utafanyaje??? π
View attachment 1826429