Naiomba mkuu kama unayo. Mwakipesile ndiye ametawala Playlist yangu hasa nikiwa katika masafa marefu yaani ni upako tosha huko barabarani. Yuko vizuri sana huyo mtumishi na huduma yake inabariki wengi na si Wanyaki peke yenu.
Akipewa huo mkopo utamnufaisha yeye binafsi na familia yake kulipa watalipa waganda...umesahau kwamba mzee ni dictator,maslahi yake binafsi ndo jambo muhimu mambo ya nchi baadae..