Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kwahiyo mnakubali kupitwa na Wasukuma? Me nadhani mkiongeza vituo kidogo mnawaondoa pale kileleni na nafasi yao ya ushamba mnaichukua [emoji85][emoji23][emoji1322][emoji1322]
wanyakyusa wa kyela walimuambia mwakyembe "alile papo... " Heaven Sent utanisidia kuwaelezea mwenza rafiki...
Nyie kwa ushamba hamna wapinzani[emoji38][emoji38][emoji38]Asante kwa kututetea maana tunaonewa sana[emoji1787]
Hujakosea kamanda:
1. Wasukuma [emoji123][emoji123]
2. Wanyaki [emoji122][emoji122][emoji122]
3. Wapare...[emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 1821398
Msukuma ameelimika sasa...Eti Tokyo [emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1821403
π€£π€£π€£Ni babaake Ajib nini huyu?
π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kuna nyimbo ya mbarikiwa mwakipesile kaimba asee... Mwenza rafikiMwenza rafiki, mbona ilinipita hiyo jamani
Kwa kweli huyo Shopkeeper wa Kisukuma ametisha πππ, ndiyo maana best zangu Nuzulati , Karma , financial services , Heaven Sent , Saint Anne na Chakorii wamesema wanataka kwenda usukumani kujifunza ππ. Nadhani kwenye hiyo trip nitamuomba Noelia asikose kujiunga nao, I'm sure watatuletea best stories kuwahusu πππ»ππ»ππ»Hujakosea kamanda:
1. Wasukuma [emoji123][emoji123]
2. Wanyaki [emoji122][emoji122][emoji122]
3. Wapare...[emoji870][emoji870][emoji870]
View attachment 1821398
Unajifariji eehπππHapana jamani, hatuwezi kuwafikia wasukuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msukuma ameelimika sasa...View attachment 1821446
Chakorii ni mnyakyusa tangu lini??Kwa kweli huyo Shopkeeper wa Kisukuma ametisha πππ, ndiyo maana best zangu Nuzulati , Karma , financial services , Heaven Sent , Saint Anne na Chakorii wamesema wanataka kwenda usukumani kujifunza ππ. Nadhani kwenye hiyo trip nitamuomba Noelia asikose kujiunga nao, I'm sure watatuletea best stories kuwahusu πππ»ππ»ππ»
Hela zenyewe za mkopo, afadhali ningekuwa hela za bure.M7 na akili zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1821347
Ulipaswa kumuoa Neema wako, maana kuwekwa mistalini unatangazwa shule nzima, si jambo dogo hilo[emoji23]Hahaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hua nikiona hizi barua namkumbuka Neema wangu maana aliniandikia barua ya mahaba akaisahau kwenye daftali la hesabu ticha akaiona .......kilicho fuata ni kengele ya msitalini na walimu kunitandika fimbo km mwizi lakini hata leo hii sijui neema wangu yupo wapi so sad[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama siyo Tandika mtaa wa Chihota basi itakuwa Kariakoo mtaa wa Raha.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 1821440