Kuna wanaotuuzia karanga za mia mia jioni na vibatari pembezoni mwa road night. Yaani wengi ukiwaangalia utagundua tu kachoka mbaya.
Ni 90 mkuu, ama nilikuwa moo pia mimi??? 😂 😂 😂
Wakulungwa itakuwa... 😂 😂 😂
Siliazi Uaah... 😂 😂 😂 😂 😂
Hama mkuu! 😬
😂 😂 😂 😂 Vitu zingine zikuwe private tu, online watakusulubisha bure! 🤣
Ogopa online shopping dadeq! 🤣 🤣 🤣
Sistee kifua kipo flat kabisa![]()
![]()
![]()
Vitu zingine zikuwe private tu, online watakusulubisha bure!
![]()

Kuna states Kule Marekani wanaruhusu 'carry-on' ila mag isiwe ndani na kusiwe na tembe yeyote ndani...Kama ni wanajeshi sawa. Nilifikiri raia tu wanapuyanga mitaani. Waisraeli hawa halafu ni lazima wapite jeshini. JKT yao imechangamka siyo kama ya kwetu![]()
Yaani, balaa hiyo. 😂Sistee kifua kipo flat kabisa![]()