Kama umepiga hela kwenye kubet sa ndo unatafuta pozi la kutambia nalo vile??tugawane basi basi hela izo

Mimi ninazo nyingi kinyama,mpaka shingoni.
Aisee nilimkataza mzazi mwenzangu kuweka"Njiti",vile vya uzazi wa mpango. Alivyoweka kwa siri tu,mambo yaliishia hapo. Mie ilikua siku za hatari namwaga nje,na hapo tayari alishaweka,nani alikua anakojoa ndani?

,so ilipokuja tu kwangu,nikapredict the future.