Haaaaa, hadi sasa na uzee huu nilienda Home kusalimiana mwaka jana mzee yupo mbali lakini anapiga simu kwa mama aniambie kuwa niwe makini kuna ukimwi, ilibidi Mimi na mama tucheke tyu
Haahahaa hapo mtihani,nisingeenda jela ningeplay smart,ndomu tu hakuna kuuza mechi halafu kila mechi inaenda kuchezewa ugenini na sio uwanja wa nyumbani.... 😀😀😀.