Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hii safi sana, wanaume wawili usiku mnakaa kitandani huku mkipiga stori za kimaisha, mafanikio pamoja na mambo/mipango ya biashara huku mkimsubiria mke wenu awaletee chai.....baadha ya hapo mnajadili nani aanze kumkula kwa siku hiyo!.....[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Laptop imezingua lakini fundi tayari ameshapatikana!

Fundi mwenyewe sasa!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…