Vituko mitandaoni! Tupia chako


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
110,796
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
110,796 2,000
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*


*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*

SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UNGA TUU
 

Forum statistics

Threads 1,295,907
Members 498,472
Posts 31,227,666
Top