Hakuna chakula nakionaga kitamu kama nilichokiandaa mwenyewe[emoji39][emoji39]
π€£π€£π€£π€£π€£Yawezekana aisee [emoji16][emoji16]
View attachment 1793993
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anaenda kufungua duka huyo. Cha ajabu et mahari wanatoa had nguruweπππ ndio mara ya kwanza kuona hyoYaani haya mazagazaga yote haya ni sehemu ya mahari? Utafikiri wapo kwa mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16]
View attachment 1793884
Mie hapo nitatoa sahani tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkia huo... π€ Aje nae tu, kwani iko nini!!! π€£ π€£ π€£Ndiyoooooooo [emoji350][emoji350][emoji350][emoji350]
View attachment 1793980
Mkuu, si bora nifungue duka? π π πYaani haya mazagazaga yote haya ni sehemu ya mahari? Utafikiri wapo kwa mganga wa kienyeji [emoji16][emoji16]
View attachment 1793884
Toeni mahari vijana muoe kwa heshima kama inavyotakiwa bana [emoji16]Mkuu, si bora nifungue duka? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh, familia ilichezewa rafu!π€Jamaa kazaliwa miaka minne baada ya mamake mzazi kufariki. Africa, I salute you !
View attachment 1793873
Zinaenda shushia pilau hizo.. π π πMaisha ni haya haya hakuna mengine!
View attachment 1793878
Ukweli asilimia100%
Apana bhana, hii ni faulu kabisa, haiwezekani. πToeni mahari vijana muoe kwa heshima kama inavyotakiwa bana [emoji16]