Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Imekuwaje mkuu?[emoji16][emoji16]dooh hii picha nimeumbuka kwenye daladala!
Imekuwaje mkuu?[emoji16][emoji16]dooh hii picha nimeumbuka kwenye daladala!
Kuna mzee alikaa pembeni hapo wakt picha ina-load nilijua huu utakuwa mzigo tu! ile katika timing ni scroll down nikachelewa ikafunguka chap mzee kabak ananiangalia tu safar nzima[emoji16]Imekuwaje mkuu?
Mbinguni mbali sana asee😂
Tutafika tu lakini tutakuwa tumechoka sana[emoji1]Mbinguni mbali sana asee[emoji23]
😂 😂 😂 😂 😂Tutafika tu lakini tutakuwa tumechoka sana[emoji1]
Angekuwa na simu janja si ajabu naye angekuomba umufowadie [emoji16][emoji16]Kuna mzee alikaa pembeni hapo wakt picha ina-load nilijua huu utakuwa mzigo tu! ile katika timing ni scroll down nikachelewa ikafunguka chap mzee kabak ananiangalia tu safar nzima[emoji16]
[emoji23][emoji23]
Vitu vya shimba
[emoji23][emoji23][emoji1][emoji1]View attachment 1784905
Huyu mkorofi. Hicho ni kijeneza kabeba mgongoni?
Endelea kulia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1784999
Umesahau hiyo picha ze don!Huyu mkorofi. Hicho ni kijeneza kabeba mgongoni?