Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,557
Mkuu kwa utambuzi huo, kwako kuuona ufalme wa peponi ni majaaliwa sana.Bonde la ufa la Eden... Panafaa uzalishaji wa viumbe hai![]()
Mkuu kwa utambuzi huo, kwako kuuona ufalme wa peponi ni majaaliwa sana.Bonde la ufa la Eden... Panafaa uzalishaji wa viumbe hai![]()
Hawa watu na hela, utadhani walizaliwa mapacha.
Duuuh, Polepole basi, usinihukumu fasta hivyo. Kilakitu na fani yake. Siasa siwezi, umbea siuwezi, uongo siuwezi, sasa nafanyaje?Unapenda matusi wewe.
Utani aside lugha ni tatizo kubwa katika mfumo wetu wa elimu. Yaani unasoma kabisa jibu la mwanafunzi na unaona kuwa ana point nzuri lakini lugha ndiyo inamshinda. Ukimwambia aandike kwa Kiswahili atakupa jibu safi sana!
Dah!