Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,320
- 71,084
Kama ni wako kamata inamisha halafu peleka moto. Utamuona tu ameshusha pumzi ndeefu na "ndo nini sasa unafanya?" ya kinyonge sana inamtoka. Ukimalizana naye attitude yote kwisha unless kama ni kakimbaumbau. Hapo ndo moto unaanza upyaaaa...
"Ulifikiri ukinidinya ndiyo ugomvi utaisha? Labda siyo mimi. Leo ni leo haki ya nani...". Hapo ukikiangalia kimtu chenyewe unaona kabisa kuwa hii ni mada kesi hii ....![]()

kuna wanawake wengine hata wanapelekeka moto bas katika hali kama hiyo, yani ndio utaongeza ukubwa wa tatizo


