Hilo tikiti lenye namba 9 unaligeuza sababu limegeuzwa juu chini, litasomeka lina namba 6 halafu unajumlisha likiti lenye namba 11 na namba 13=30
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hilo tikiti lenye namba 9 unaligeuza sababu limegeuzwa juu chini, litasomeka lina namba 6 halafu unajumlisha likiti lenye namba 11 na namba 13=30
Nguvu za nini tena ?[emoji28][emoji28][emoji28] hizo mlizonazo zinatoshaM
Mungu atupe nguvu kwa kweli