TBC Tanzania Safari channel hawana ratiba wala nini, aliyepo studio anarusha kinachonjia na zaidi sana "Shamba la Wanyamapori Chato".
Wanapicha chache na wanazirudia sana na pia wanachomekea the so called 'documentary ya harakati za ukombozi kusini mwa Afrika'.
Ni mikusanyiko wa picha na maelezo bila mpangilio. What a waste of tax payers money