Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hawa viumbe usiombe Ukae nae Siti moja Kwa basi utajuta.
Kwahiyo mama kubwa unataka usemeje labda au kwenye siti walipie nauli za watu wawili?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Kwenye basi angalau viti ni vikubwa kidogo.

Ukitaka kuwafaidi hawa upangwe nao pamoja kwenye ndege. Halafu kawe kasafari karefu ka zaidi ya masaa 6 hivi. Anachukua nusu ya siti yako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…