Umeona video zinazoonyesha kinachoendelea India? Zinatisha sana. Patashika hii ya korona madaktari wanavuna viungo vya vinadamu kama hawana akili. Hata wanasema si wote wanakufa na Korona. Wanakoboa Figo, moyo na kila kitu halafu unabebwa huko kwenda kuchomwa moto eti umekufa na Korona. Pesa mwanaharamu sana aisee...



kudadeki navunja dirisha napotelea kusikojulikanaDuuuUmeona video zinazoonyesha kinachoendelea India? Zinatisha sana. Patashika hii ya korona madaktari wanavuna viungo vya vinadamu kama hawana akili. Hata wanasema si wote wanakufa na Korona. Wanakoboa Figo, moyo na kila kitu halafu unabebwa huko kwenda kuchomwa moto eti umekufa na Korona. Pesa mwanaharamu sana aisee...