Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

*
IMG-20210430-WA0002.jpg
 
'
20210430_205300.jpg

Wengine utasikia, gari lenyewe linakunywa kama jini (huyu anaesema hivi utakuta hata hajui tofauti ya Passo na Crown)[emoji16][emoji16].

Wengine utasikia, 'hajafikia uwezo wa kununua gari anafosi tu' [emoji16][emoji16]

Mwengine utamsikia, 'kwani gari zina bei siku hizi? Hata laki saba unapata' (kumbuka huyu hana hata baiskeli achilia mbali hela ya chai)[emoji16][emoji16]

Mwengine utamsikia, 'mimi nitanunua gari lakini sio kama lile, nitachukua chuma cha maana nikimaliza nimemaliza' (huyu anaongea akiwa kwa shemeji) [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom