[emoji23][emoji23][emoji23]mbwai iwe mbwai tuMtu mmekunywa naye Bia miaka 4 akiwa Jobless.. Kapata Kazi anadai Ameokoka ameacha Pombe
Inauma Sana! huyu ukimloga hupati dhambi
Hata akiokoka bia zetu lazima azilipie tutapeleka bili huko huko wokovuni
Ndio mjione jinsi mnatupasua vichwa[emoji16]Nilifikiri ni. Lovesong za miaka hiyo ya kwetu [emoji22][emoji22]
[emoji23][emoji23]mbuzi kafia kwa muuza bucha
Lakini sio kwa sisi. Mabushmam aisee tupo kihadikoo zaidiNdio mjione jinsi mnatupasua vichwa[emoji16]
Miaka 900,waiiiMovie[emoji3]View attachment 1765903
Mchunguze vizuri bro wako kama hana mbawa miguuni atakua alien huyo[emoji3].. but bado namin unamanisha second sio minute.Kwanini haiwezekani? Bro wangu ni mrefu na huruka hewani na kukaa hewani for 2 mnts
Kamba [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwanini haiwezekani? Bro wangu ni mrefu na huruka hewani na kukaa hewani for 2 mnts
Those were the days....
Huyu pepo ataisikia kwenye TV tu [emoji16][emoji16][emoji16]Tunakazia swaum[emoji28]View attachment 1765624