Vituko mitandaoni. Tupia chako

Gravitational force ilizimwa labda
Story za kwenye Alkasusi...hakuna mtu anaeweza kukaa hewani kwa sekunde 8 japo wewe umeandika dakika

Unapoona Jambo au ukiambiwa Jambo jaribu kutumia akili kulichanganua
Obviously ni porojo ndo maana kaileta kwenye thread hii ya vituko vya mtandaoni. Naamini anajua kuwa ni porojo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…