Taavid
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 8,321
- 71,088
Bila shaka hata hii pia itakuwa inamuhusu yeye tuKuna wakati naye huwa anachoka jamaa wanakamatwa hasa wakizidisha, kama yule eliyesema Kenya isihusishwe na ulipaji wa madeni yaliyokopwa na uhuru bali yachukuliwe kama mkopo binafsi kwake na familia yake eti kwa vile ni matajiri sana basi wataweza kuilipa hiyo mikopo huko mbele ya safari lakini siyo kuibambikia Kenya. Na nadhani sheria yao ya makosa ya mtandao siyo kali kama yetu na kidogo...na ana ngozi ngumu.